يَوۡمَئِذࣲ يَصۡدُرُ ٱلنَّاسُ أَشۡتَاتࣰا لِّيُرَوۡاْ أَعۡمَٰلَهُمۡ ٦
Az-Zalzalah 99:6
سورة الزلزلة
Madina
Aya: 6/8
Ukurasa 599
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Siku hiyo watu watatoka kwa mfarakano wakaonyweshwe vitendo vyao! -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Siku hiyo wataondoka kutoka kwenye kisimamo cha Hesabu wakiwa makundi, ili Mwenyezi Mungu Awaoneshe waliyoyatenda, mazuri na mabaya, na Awalipe kwayo.
Az-Zalzalah 99:6
Inapakia kisomo…
0:00