أَوَمَن يُنَشَّؤُاْ فِي ٱلۡحِلۡيَةِ وَهُوَ فِي ٱلۡخِصَامِ غَيۡرُ مُبِينࣲ ١٨
Az-Zukhruf 43:18
سورة الزخرف
Makka
Aya: 18/89
Ukurasa 490
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Ati aliye lelewa katika mapambo, na katika mabishano hawezi kusema kwa bayana...? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Je, mnajasiri na kumnasibishia Mwenyezi Mungu mtu anayelelewa katika pambo asiyeweza kutasua hoja kwenye mjadala kwa sababu ya kukulia kwake kwenye pambo na starehe?
Az-Zukhruf 43:18
Inapakia kisomo…
0:00