ٱلۡأَخِلَّآءُ يَوۡمَئِذِۭ بَعۡضُهُمۡ لِبَعۡضٍ عَدُوٌّ إِلَّا ٱلۡمُتَّقِينَ ٦٧
Az-Zukhruf 43:67
سورة الزخرف
Makka
Aya: 67/89
Ukurasa 494
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Siku hiyo marafiki watakuwa ni maadui, wao kwa wao, isipo kuwa wachamngu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Marafiki katika kumuasi Mwenyezi Mungu duniani watatengana wao kwa wao Siku ya Kiyama. Lakini wale waliofanya urafiki juu ya uchaji Mwenyezi Mungu, urafiki wao utadumu duniani na Akhera.
Az-Zukhruf 43:67
Inapakia kisomo…
0:00