ثُمَّ أَخَذۡتُ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْۖ فَكَيۡفَ كَانَ نَكِيرِ ٢٦
Fatir 35:26
سورة فاطر
Makka
Aya: 26/45
Ukurasa 437
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Kisha nikawakamata walio kufuru. Basi kuchukia kwangu kulikuwaje? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Kisha nikawakamata wale waliokanusha na kuwapa aina mbalimbali za adhabu. Basi angalia kulikuwa namna gani kukataa kwangu matendo yao na kule kuwashukia wao mateso yangu?
Fatir 35:26
Inapakia kisomo…
0:00