ٱلَّذِيٓ أَحَلَّنَا دَارَ ٱلۡمُقَامَةِ مِن فَضۡلِهِۦ لَا يَمَسُّنَا فِيهَا نَصَبࣱ وَلَا يَمَسُّنَا فِيهَا لُغُوبࣱ ٣٥
Fatir 35:35
سورة فاطر
Makka
Aya: 35/45
Ukurasa 438
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Ambaye kwa fadhila yake ametuweka makao ya kukaa daima; humu haitugusi taabu wala humu hakutugusi kuchoka. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na Yeye Ndiye Aliyetushukisha Nyumba ya Pepo kwa fadhila Zake, haitatugusa humo usumbufu wala uchovu.
Fatir 35:35
Inapakia kisomo…
0:00