وَلَقَدۡ ءَاتَيۡنَا مُوسَى ٱلۡهُدَىٰ وَأَوۡرَثۡنَا بَنِيٓ إِسۡرَٰٓءِيلَ ٱلۡكِتَٰبَ ٥٣
Ghafir 40:53
سورة غافر
Makka
Aya: 53/85
Ukurasa 473
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na kwa hakika tulimpa Musa uwongofu, na tukawarithisha Wana wa Israili Kitabu, -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Kwa hakika tulimpa Mūsā Taurati na miujiza miongoni mwa vitu vinavyoongoza kwenye haki, na tukawafanya Wana wa Isrāīl warithiane Taurati: wanyuma kutoka kwa waliopita,
Ghafir 40:53
Inapakia kisomo…
0:00