Ghafir 40:54

سورة غافر

Makka Aya: 54/85 Ukurasa 473

هُدࣰى وَذِكۡرَىٰ لِأُوْلِي ٱلۡأَلۡبَٰبِ ٥٤

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Ambacho ni Uwongofu na Ukumbusho kwa wenye akili.
  2. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    hali ya kuwa ni yenye kuongoza kwenye njia ya usawa na ni waadhi kwa wenye akili kamilifu.

Soma sura nzima Tafsiri ya Kiarabu