ثُمَّ قِيلَ لَهُمۡ أَيۡنَ مَا كُنتُمۡ تُشۡرِكُونَ ٧٣
Ghafir 40:73
سورة غافر
Makka
Aya: 73/85
Ukurasa 475
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Tena wataambiwa: Wako wapi mlio kuwa mkiwashirikisha -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Kisha waambiwe kwa kuwasimanga, na wao wako kwenye hali hii ya unguliko , «Wako wapi waungu mliokuwa mkiwaabudu.
Ghafir 40:73
Inapakia kisomo…
0:00