وَٱصۡبِرۡ فَإِنَّ ٱللَّهَ لَا يُضِيعُ أَجۡرَ ٱلۡمُحۡسِنِينَ ١١٥
Hood 11:115
سورة هود
Makka
Aya: 115/123
Ukurasa 234
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na subiri, kwani Mwenyezi Mungu hapotezi ujira wa wanao fanya wema. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na usubiri, ew Nabii, juu ya hiyo Swala na juu ya makero unayoyakuta kutoka kwa washirina wa watu wako, kwani Mwenyezi Mungu Hapotezi malipo ya walio wema katika matendo yao.
Hood 11:115
Inapakia kisomo…
0:00