لَا جَرَمَ أَنَّهُمۡ فِي ٱلۡأٓخِرَةِ هُمُ ٱلۡأَخۡسَرُونَ ٢٢
Hood 11:22
سورة هود
Makka
Aya: 22/123
Ukurasa 224
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Bila ya shaka hakika wao ndio wenye kukhasiri huko Akhera. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Ukweli ni kwamba wao kesho Akhera ni wenye kapata hasara zaidi kibiashara, kwa kuwa wao waliacha daraja za Pepo na kuchukuwa mashimo ya Moto, kwa hivyo wakawa kwenye Moto wa Jahanamu. Huko ndiko kupata hasara waziwazi.
Hood 11:22
Inapakia kisomo…
0:00