إِلَى ٱللَّهِ مَرۡجِعُكُمۡۖ وَهُوَ عَلَىٰ كُلِّ شَيۡءࣲ قَدِيرٌ ٤
Hood 11:4
سورة هود
Makka
Aya: 4/123
Ukurasa 221
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Marejeo yenu ni kwa Mwenyezi Mungu tu. Naye ni Muweza wa kila kitu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Ni kwa Mwenyezi Mungu marejeo yenu baada ya kufa kwenu nyote, basi jitahadharini na mateso Yake. Na Yeye, kutakata na sifa za upungufu ni Kwake, ni Muweza wa kuwafufua nyinyi, kuwakusanya na kuwalipa.
Hood 11:4
Inapakia kisomo…
0:00