جَهَنَّمَ يَصۡلَوۡنَهَاۖ وَبِئۡسَ ٱلۡقَرَارُ ٢٩
Ibrahim 14:29
سورة إبراهيم
Makka
Aya: 29/52
Ukurasa 259
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Nayo ni Jahannamu! Maovu yaliyoje makaazi hayo! -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
nayo ni Moto wa Jahanamu ambao watauingia na wataungulika na joto lake. Na mahali pabaya pa kukaa na kutulia ni hapo penye makao yao.
Ibrahim 14:29
Inapakia kisomo…
0:00