Maryam 19:15

سورة مريم

Makka Aya: 15/98 Ukurasa 306

وَسَلَٰمٌ عَلَيۡهِ يَوۡمَ وُلِدَ وَيَوۡمَ يَمُوتُ وَيَوۡمَ يُبۡعَثُ حَيࣰّا ١٥

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Na amani iwe juu yake siku ya kuzaliwa, na siku ya kufa, na siku ya kufufuliwa.

Soma sura nzima Linganisha tafsiri Tafsiri ya Kiarabu