وَوَهَبۡنَا لَهُم مِّن رَّحۡمَتِنَا وَجَعَلۡنَا لَهُمۡ لِسَانَ صِدۡقٍ عَلِيࣰّا ٥٠
Maryam 19:50
سورة مريم
Makka
Aya: 50/98
Ukurasa 308
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na tukawapa rehema zetu na tukawajaalia kupewa sifa za kweli tukufu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na tukawatunukia wao wote rehema zetu zikiwa ni nyongeza zisizohesabika, na tukawajaalia watajike vizuri na wasifiwe kwa sifa njema zenye kubaki kwa watu.
Maryam 19:50
Inapakia kisomo…
0:00