وَوَهَبۡنَا لَهُۥ مِن رَّحۡمَتِنَآ أَخَاهُ هَٰرُونَ نَبِيࣰّا ٥٣
Maryam 19:53
سورة مريم
Makka
Aya: 53/98
Ukurasa 309
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Nasi kwa rehema zetu tukampa nduguye, Harun, awe Nabii. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na tulimtunukia Mūsā, kutokana na rehema zetu, ndugu yake Hārūn akawa Nabii mwenye kumtilia nguvu na kumsaidia.
Maryam 19:53
Inapakia kisomo…
0:00