وَنَسُوقُ ٱلۡمُجۡرِمِينَ إِلَىٰ جَهَنَّمَ وِرۡدࣰا ٨٦
Maryam 19:86
سورة مريم
Makka
Aya: 86/98
Ukurasa 311
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na tukawachunga wakhalifu kuwapeleka Jahannamu hali ya kuwa wana kiu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
na tutawaongoza wenye kumkanusha Mwenyezi Mungu kwa kuwasuta kwa nguvu kuwapeleka Motoni, wakitembea kwa miguu, wakiwa na kiu.
Maryam 19:86
Inapakia kisomo…
0:00