إِنَّكَ إِن تَذَرۡهُمۡ يُضِلُّواْ عِبَادَكَ وَلَا يَلِدُوٓاْ إِلَّا فَاجِرࣰا كَفَّارࣰا ٢٧
Nooh 71:27
سورة نوح
Makka
Aya: 27/28
Ukurasa 571
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Hakika ukiwaacha watawapoteza waja wako, wala wao hawatazaa ila waovu makafiri. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hao ukiwaacha, bila kuwaangamiza, watawapoteza waja wako waliokuamini na kuwapotosha njia ya haki, na haji yoyote kutokana na migongo yao na vizazi vyao isipokuwa yule aliyepotoka na njia ya haki na kukukanusha wewe sana na kukuasi.
Nooh 71:27
Inapakia kisomo…
0:00