كَذَّبَتۡ قَبۡلَهُمۡ قَوۡمُ نُوحࣲ وَأَصۡحَٰبُ ٱلرَّسِّ وَثَمُودُ ١٢
Qaf 50:12
سورة ق
Makka
Aya: 12/45
Ukurasa 518
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Kabla yao walikadhibisha kaumu ya Nuhu na wakaazi wa Rassi na Thamudi. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Walikanusha, kabla ya hawa washirikina miongoni mwa Makureshi, watu wa Nūḥ, watu wa Kisima na Thamūd.
Qaf 50:12
Inapakia kisomo…
0:00