وَأُزۡلِفَتِ ٱلۡجَنَّةُ لِلۡمُتَّقِينَ غَيۡرَ بَعِيدٍ ٣١
Qaf 50:31
سورة ق
Makka
Aya: 31/45
Ukurasa 519
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na Pepo italetwa karibu kwa ajili ya wachamngu, haitakuwa mbali. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na hapo wachamungu wakaribishiwe Pepo, iwepo mahali ambapo si mbali na wao, wawe waiona, kwa kuwaongezea furaha zao.
Qaf 50:31
Inapakia kisomo…
0:00