إِۦلَٰفِهِمۡ رِحۡلَةَ ٱلشِّتَآءِ وَٱلصَّيۡفِ ٢
Quraish 106:2
سورة قريش
Makka
Aya: 2/4
Ukurasa 602
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Kuzoea kwao safari za siku za baridi na siku za joto. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
kupangika na kusahilika misafara yao ya kwenda Yamani kipindi cha kusi na kwenda Shamu kipindi cha kaskazi, ili kuleta vitu wanavyohitajia.
Quraish 106:2
Inapakia kisomo…
0:00