أَتَّخَذۡنَٰهُمۡ سِخۡرِيًّا أَمۡ زَاغَتۡ عَنۡهُمُ ٱلۡأَبۡصَٰرُ ٦٣
Sad 38:63
سورة ص
Makka
Aya: 63/88
Ukurasa 457
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Tulikosea tulipo wafanyia maskhara, au macho yetu tu hayawaoni? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Je, kwani kule kuwadharau kwetu na kuwachezea kulikuwa ni makosa Au wao wako pamoja na sisi Motoni lakini macho yetu bado hayajawaona?»
Sad 38:63
Inapakia kisomo…
0:00