فَأَلۡقَىٰهَا فَإِذَا هِيَ حَيَّةࣱ تَسۡعَىٰ ٢٠
TaHa 20:20
سورة طه
Makka
Aya: 20/135
Ukurasa 313
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Akaitupa. Mara ikawa nyoka anaye kwenda mbio. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Mūsā akaitupa chini, ikageuka kwa amri ya Mwenyezi Mungu ikawa nyoka anayetembea, na Mūsā akaona jambo kubwa na akazunguka kukimbia.
TaHa 20:20
Inapakia kisomo…
0:00