قَالَ خُذۡهَا وَلَا تَخَفۡۖ سَنُعِيدُهَا سِيرَتَهَا ٱلۡأُولَىٰ ٢١
TaHa 20:21
سورة طه
Makka
Aya: 21/135
Ukurasa 313
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Akasema: Ikamate, wala usiogope! Tutairudisha hali yake ya kwanza. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Mwenyezi Mungu Akasema kumwambia Mūsā, «Mshike huyo nyoka na usimuogope, tutamrudisha kuwa fimbo vile alivyokuwa mwanzo.
TaHa 20:21
Inapakia kisomo…
0:00