تَنزِيلَ ٱلۡعَزِيزِ ٱلرَّحِيمِ ٥
YaSin 36:5
سورة يس
Makka
Aya: 5/83
Ukurasa 440
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Uteremsho wa Mwenye nguvu, Mwenye kurehemu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Ameiteremsha Mwenyezi Mungu hii Qur’ani ikiwa ni teremsho kutoka kwa Aliye Mshindi, katika kuwaadhibu watu wa ukafiri na maasia, Mwenye kuwarehemu waja Wake waliotubia na wakatenda mema.
YaSin 36:5
Inapakia kisomo…
0:00