فَلَا يَسۡتَطِيعُونَ تَوۡصِيَةࣰ وَلَآ إِلَىٰٓ أَهۡلِهِمۡ يَرۡجِعُونَ ٥٠
YaSin 36:50
سورة يس
Makka
Aya: 50/83
Ukurasa 443
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Basi hawataweza kuusia, wala kwa watu wao hawarejei. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hawataweza hawa washirikina wakati wa kuvuviwa barugumu kumuusia yoyote kitu chochote, wala hawataweza kurejea kwa watu wao, bali watakufa wakiwa kwenye masoko yao na pale walipo.
YaSin 36:50
Inapakia kisomo…
0:00