ٱصۡلَوۡهَا ٱلۡيَوۡمَ بِمَا كُنتُمۡ تَكۡفُرُونَ ٦٤
YaSin 36:64
سورة يس
Makka
Aya: 64/83
Ukurasa 444
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Ingieni leo kwa vile mlivyo kuwa mkikufuru. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
«Basi uingieni leo na mteseke kwa joto lake, kwa sababu ya ukafiri wenu!
YaSin 36:64
Inapakia kisomo…
0:00