وَمَن نُّعَمِّرۡهُ نُنَكِّسۡهُ فِي ٱلۡخَلۡقِۚ أَفَلَا يَعۡقِلُونَ ٦٨
YaSin 36:68
سورة يس
Makka
Aya: 68/83
Ukurasa 444
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na tunaye mzeesha tunamrudisha nyuma katika umbo. Basi je! hawazingatii? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na yoyote tutakayeurefusha umri wake mpaka awe mkongwe tunamrudisha kwenye hali ya udhaifu wa akili na udhaifu wa mwili. Basi hawatii akilini kwamba yule Aliyefanya hili ni mwenye uweza wa kuwafufua?
YaSin 36:68
Inapakia kisomo…
0:00