وَيَقُولُونَ مَتَىٰ هَٰذَا ٱلۡوَعۡدُ إِن كُنتُمۡ صَٰدِقِينَ ٤٨
Yunus 10:48
سورة يونس
Makka
Aya: 48/109
Ukurasa 214
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na wanasema: Lini ahadi hii, ikiwa mnasema kweli? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na washirikina katika watu wako, ewe Mtume, wanasema, «Ni lini kitasimama Kiyama iwapo wewe na waliokufuata ni miongoni mwa wakweli katika yale mnayotuahidi kwayo?»
Yunus 10:48
Inapakia kisomo…
0:00