هُوَ يُحۡيِۦ وَيُمِيتُ وَإِلَيۡهِ تُرۡجَعُونَ ٥٦
Yunus 10:56
سورة يونس
Makka
Aya: 56/109
Ukurasa 215
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Yeye ndiye anaye fufua na anaye fisha. Na kwake mtarejeshwa. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hakika Mwenyezi Mungu Ndiye Mwenye kuhuisha na Mwenye kufisha, Hashindwi kuwahuisha watu baada ya kufa kwao, kama ambavyo hakumshindi Yeye kuwafisha Atakapo hilo. Na wao ni wenye kurejea Kwake baada ya kufa kwao.
Yunus 10:56
Inapakia kisomo…
0:00