إِنَّ ٱلَّذِينَ حَقَّتۡ عَلَيۡهِمۡ كَلِمَتُ رَبِّكَ لَا يُؤۡمِنُونَ ٩٦
Yunus 10:96
سورة يونس
Makka
Aya: 96/109
Ukurasa 219
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Hakika wale ambao neno la Mola wako Mlezi limekwisha thibitika juu yao, hawataamini, -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hakika ya wale ambao limethibiti kwao neno la Mola Wako la kuwafukuza kwenye rehema Yake na kuwaadhibu, hawaziamini hoja za Mwenyezi Mungu, hawaukubali upweke Wake wala hawazifuati sheria Zake kivitendo.
Yunus 10:96
Inapakia kisomo…
0:00