وَلَوۡ جَآءَتۡهُمۡ كُلُّ ءَايَةٍ حَتَّىٰ يَرَوُاْ ٱلۡعَذَابَ ٱلۡأَلِيمَ ٩٧
Yunus 10:97
سورة يونس
Makka
Aya: 97/109
Ukurasa 219
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Ijapo kuwa itawajia kila Ishara, mpaka waione adhabu iliyo chungu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hata kama yatawajia wao kila mawaidha na mazingatio mpaka waishuhudie adhabu yenye kuumiza. Hapo wataamini, na haitawafaa Imani yao.
Yunus 10:97
Inapakia kisomo…
0:00