Yunus 10:97

سورة يونس

Makka Aya: 97/109 Ukurasa 219

وَلَوۡ جَآءَتۡهُمۡ كُلُّ ءَايَةٍ حَتَّىٰ يَرَوُاْ ٱلۡعَذَابَ ٱلۡأَلِيمَ ٩٧

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Ijapo kuwa itawajia kila Ishara, mpaka waione adhabu iliyo chungu.

Soma sura nzima Linganisha tafsiri Tafsiri ya Kiarabu