وَلَئِن مُّتُّمۡ أَوۡ قُتِلۡتُمۡ لَإِلَى ٱللَّهِ تُحۡشَرُونَ ١٥٨
Al-Imran 3:158
سورة آل عمران
Madina
Aya: 158/200
Ukurasa 71
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na mkifa au mkiuliwa ni kwa Mwenyezi Mungu ndio mtakusanywa. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na iwapo ajali zenu zitakoma katika haya maisha ya dunia na mkafa juu ya matandiko yenu au mkauawa katika uwanja wa mapigano, ni kwa Mwenyezi Mungu, Peke Yake, Mtakusanywa; na huko Atawalipa kwa matendo yenu mliyoyatenda.
Al-Imran 3:158
Inapakia kisomo…
0:00