وَيُعَلِّمُهُ ٱلۡكِتَٰبَ وَٱلۡحِكۡمَةَ وَٱلتَّوۡرَىٰةَ وَٱلۡإِنجِيلَ ٤٨
Al-Imran 3:48
سورة آل عمران
Madina
Aya: 48/200
Ukurasa 56
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na atamfunza kuandika na Hikima na Taurati na Injili. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na Atamfundisha kuandika, njia ya kuufikia usawa katika kusema na kutenda, Taurati ambayo Mwenyezi Mungu Alimletea Musa, amani imshukie, kwa njia ya wahyi, na Injili ambayo Mwenyezi Mungu Alimteremshia yeye.
Al-Imran 3:48
Inapakia kisomo…
0:00