فَلَمَّآ أَحَسُّواْ بَأۡسَنَآ إِذَا هُم مِّنۡهَا يَرۡكُضُونَ ١٢
Al-Anbiya' 21:12
سورة الأنبياء
Makka
Aya: 12/112
Ukurasa 323
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Basi walipo ihisi adhabu yetu, mara wakaanza kukimbia. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Walipoiyona, madhalimu hawa, adhabu yetu kali ikiwashukia na wakaziona ishara zake, wakitahamaki wakawa wanakimbia kwa haraka kutoka mjini mwao.
Al-Anbiya' 21:12
Inapakia kisomo…
0:00