وَمَا خَلَقۡنَا ٱلسَّمَآءَ وَٱلۡأَرۡضَ وَمَا بَيۡنَهُمَا لَٰعِبِينَ ١٦
Al-Anbiya' 21:16
سورة الأنبياء
Makka
Aya: 16/112
Ukurasa 323
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na hatukuziumba mbingu na ardhi na vilivyo baina yao kwa mchezo. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na hatukuumba mbingu na ardhi na vilivyoko baina yake kwa upuuzi na ubatilifu, lakini ni kwa kusimamisha hoja juu yenu, enyi watu, na ili mzingatie kwa hayo yote mpate kujua kwamba Yule Aliyeziumba hizo mbingu na ardhi hafanani na chochote, na hakuna anayefaa kuabudiwa isipokuwa Yeye.
Al-Anbiya' 21:16
Inapakia kisomo…
0:00