وَإِسۡمَٰعِيلَ وَإِدۡرِيسَ وَذَا ٱلۡكِفۡلِۖ كُلࣱّ مِّنَ ٱلصَّٰبِرِينَ ٨٥
Al-Anbiya' 21:85
سورة الأنبياء
Makka
Aya: 85/112
Ukurasa 329
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na Ismail, na Idris, na Dhulkifli - wote walikuwa miongoni mwa wanao subiri. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na kumbuka Ismā'īl, Idrīs na Dhulkifl. Wote hao ni miongoni mwa wavumilivu katika kumtii Mwenyezi Mungu, kutakata na sifa za upungufu ni Kwake na kutukuka ni Kwake, katika kujiepusha na kumuasi na juu ya makadirio Yake, na kwa hivyo walistahiki kutajwa kwa sifa nzuri.
Al-Anbiya' 21:85
Inapakia kisomo…
0:00