وَأَدۡخَلۡنَٰهُمۡ فِي رَحۡمَتِنَآۖ إِنَّهُم مِّنَ ٱلصَّٰلِحِينَ ٨٦
Al-Anbiya' 21:86
سورة الأنبياء
Makka
Aya: 86/112
Ukurasa 329
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na tukawaingiza katika rehema yetu. Hakika wao walikuwa katika watu wema. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na tukawatia ndani ya rehema yetu. Kwa hakika wao ni miongoni mwa wale ambao imetengenea ndani yao na nje yao, wakamtii Mwenyezi Mungu na wakafanya matendo yanayolingana na maamrisho Yake.
Al-Anbiya' 21:86
Inapakia kisomo…
0:00