وَتِلۡكَ ٱلۡأَمۡثَٰلُ نَضۡرِبُهَا لِلنَّاسِۖ وَمَا يَعۡقِلُهَآ إِلَّا ٱلۡعَٰلِمُونَ ٤٣
Al-'Ankabut 29:43
سورة العنكبوت
Makka
Aya: 43/69
Ukurasa 401
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na hiyo ni mifano tunawapigia watu, na hawaifahamu ila wenye ilimu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na mifano hii tunawapigia watu , ili wanufaike nayo na wajifunze kwayo. Na hawaielewi isipokuwa wale wanaomjua Mwenyezi Mungu na kuzijua aya Zake na Sheria Zake.
Al-'Ankabut 29:43
Inapakia kisomo…
0:00