Al-Balad 90:4

سورة البلد

Makka Aya: 4/20 Ukurasa 594

لَقَدۡ خَلَقۡنَا ٱلۡإِنسَٰنَ فِي كَبَدٍ ٤

  1. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    Hakika Tumemuumba binadamu katika usumbufu na shida za kilimwengu.

Soma sura nzima Linganisha tafsiri Tafsiri ya Kiarabu