وَمِن شَرِّ غَاسِقٍ إِذَا وَقَبَ ٣
Al-Falaq 113:3
سورة الفلق
Makka
Aya: 3/5
Ukurasa 604
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na shari ya giza la usiku liingiapo, -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
«Na shari la usiku wenye giza lingi ungiapo na ujikitapo na mashari na maudhi mbalimbali yaliyomo ndani yake.
Al-Falaq 113:3
Inapakia kisomo…
0:00