لَّيۡسَ لَهُمۡ طَعَامٌ إِلَّا مِن ضَرِيعࣲ ٦
Al-Ghashiyah 88:6
سورة الغاشية
Makka
Aya: 6/26
Ukurasa 592
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Hawatakuwa na chakula isipo kuwa kichungu chenye miba. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Watu wa Motoni hawatakuwa na chakula isipokuwa kinachotoka kwenye mti wa miba ilioshikana na chini. Ni kibaya sana chakula hiko na ni kichafu mno.
Al-Ghashiyah 88:6
Inapakia kisomo…
0:00