يُوفُونَ بِٱلنَّذۡرِ وَيَخَافُونَ يَوۡمࣰا كَانَ شَرُّهُۥ مُسۡتَطِيرࣰا ٧
Al-Insan 76:7
سورة الإنسان
Madina
Aya: 7/31
Ukurasa 579
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Wanatimiza ahadi, na wanaiogopa siku ambayo shari yake inaenea sana, -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hao walikuwa huko duniani wanatekeleza kile walichojilazimisha nafsi zao cha utiifu kwa Mwenyezi Mungu, na wakiogopa mateso ya Mwenyezi Mungu, Siku ya Kiyama, ambayo madhara yake ni hatari na ubaya ni wenye kusambaa na kuenea kwa watu isipokuwa wale ambao Mwenyezi Mungu Amewarehemu.
Al-Insan 76:7
Inapakia kisomo…
0:00