وَيُطۡعِمُونَ ٱلطَّعَامَ عَلَىٰ حُبِّهِۦ مِسۡكِينࣰا وَيَتِيمࣰا وَأَسِيرًا ٨
Al-Insan 76:8
سورة الإنسان
Madina
Aya: 8/31
Ukurasa 579
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na huwalisha chakula, juu ya kukipenda kwake, masikini, na yatima, na wafungwa. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na wanalisha chakula, pamoja na kuwa wanakipenda na kukihitajia, kumpa fukara asiyeweza kuchuma, asiyemiliki chochote katika vitu vya kilimwengu, na kumpa mtoto aliyefiliwa na babake kabla ya kubaleghe na asiye na mali, na kumpa mtu aliyetekwa vitani miongoni mwa washirikina na wengineo,
Al-Insan 76:8
Inapakia kisomo…
0:00