وَأَذِنَتۡ لِرَبِّهَا وَحُقَّتۡ ٢
Al-Inshiqaq 84:2
سورة الإنشقاق
Makka
Aya: 2/25
Ukurasa 589
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na ikamsikiliza Mola wake Mlezi, na ikapasiwa kumsikiliza, -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na ikatii amri ya Mola wake ya kuwa ipasuke, na inastahili kufuata amri hiyo.
Al-Inshiqaq 84:2
Inapakia kisomo…
0:00