كُلُّ ذَٰلِكَ كَانَ سَيِّئُهُۥ عِندَ رَبِّكَ مَكۡرُوهࣰا ٣٨
Al-Isra 17:38
سورة الإسراء
Makka
Aya: 38/111
Ukurasa 285
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Haya yote ubaya wake ni wenye kuchukiza kwa Mola wako Mlezi. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Yote yaliyotangulia kutajwa, ya maamrisho na makatazo, Mwenyezi Mungu Anayachukia mabaya yake na hayaridhii kwa waja wake.
Al-Isra 17:38
Inapakia kisomo…
0:00