ٱنطَلِقُوٓاْ إِلَىٰ ظِلࣲّ ذِي ثَلَٰثِ شُعَبࣲ ٣٠
Al-Mursalat 77:30
سورة المرسلات
Makka
Aya: 30/50
Ukurasa 581
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Nendeni kwenye kivuli chenye mapande matatu! -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Endeni mjifinike kwenye kivuli cha moshi wa moto wa Jahanamu ambacho hapo panachembuka vipande vitatu.
Al-Mursalat 77:30
Inapakia kisomo…
0:00