Al-Mutaffifin 83:12

سورة المطففين

Makka Aya: 12/36 Ukurasa 588

وَمَا يُكَذِّبُ بِهِۦٓ إِلَّا كُلُّ مُعۡتَدٍ أَثِيمٍ ١٢

  1. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    Na wala haikanushi Siku Hiyo isipokuwa kila dhalimu mwenye madhambi mengi.

Soma sura nzima Linganisha tafsiri Tafsiri ya Kiarabu