Al-Mutaffifin 83:16

سورة المطففين

Makka Aya: 16/36 Ukurasa 588

ثُمَّ إِنَّهُمۡ لَصَالُواْ ٱلۡجَحِيمِ ١٦

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Kisha wataingia Motoni!
  2. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    Kisha hakika hao makafiri ni wenye kuingia Motoni, na wataziona na kuzihisi dharubu zake.

Soma sura nzima Tafsiri ya Kiarabu