إِنَّا كُلَّ شَيۡءٍ خَلَقۡنَٰهُ بِقَدَرࣲ ٤٩
Al-Qamar 54:49
سورة القمر
Makka
Aya: 49/55
Ukurasa 530
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Kwa hakika Sisi tumekiumba kila kitu kwa kipimo. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hakika sisi kila kitu tumekiumba kwa kipimo tulichokikadiri na kukipitisha, na ilitangulia elimu yetu ya kukijua kitu hiko na kukiandika kwenye Ubao Uliohifadhiwa.
Al-Qamar 54:49
Inapakia kisomo…
0:00